- Unaweka mambo bayana kuondoa utata kwa familia na jamaa zako.
- Unamchagua msimamizi wa mirathi unayemtaka wewe.
- Unatoa maelezo ya wapi mwili wako uhifadhiwe, taratibu zitakazotumika kuuzika mwili wako na jinsi gani mali yako igawanywe kama upendavyo wewe na kwa mujibu wa Sheria.
- Mtoa wosia lazima awe na akili timamu.
- Awe ametimiza miaka kumi na nane (18) na kuendelea.
- Uonyeshe tarehe,mwezi na mwaka ulioandikwa.
- Uonyeshe majina ya warithi.
- Mtoa wosia ahusishe mali zake binafsi na si za mtu mwingine.
- Wosia ni siri wanufaika hawatakiwi kuujua.
- Ushuhudiwe na mashaidi wawili, kwa mtoa wosia anaye jua kusoma na kuandika na kwa yule asiye jua kusoma ua kuandika mashuhuda wake lazima wawe wanne na wajue kusoma na kuandika.
- Mtoa wosia lazima aweke saini yake,na kama hajui kusoma na kuandiaka aweke alama ya dole gumba la mkono wa kulia.
- Mashuhuda lazima waweke saini zao tena kwa wakati mmoja.
- Kumtelekeza mtoa wosia pale ambapo anaumwa na kuhitaji msaada.
- Kufanya uzinzi na mke wa mtoa wosia.
- Endapo kifo cha mtoa wosia kitakuwa kimesababishwa na mrithi.
- Kutayarisha : 5,000/=
- Kutunza : 5,000/=
- Marekebisho: 5,000/=
- Kutayarisha: 20,000/=
- Kutunza : 20,000/=
- Marekebisho: 20,000/=
- Kutayarisha : 30,000/=
- Kutunza : 30,000/=
- Marekebisho: 30,000/=
- Kutayarisha : 50,000/=
- Kutunza : 50,000/=
- Marekebisho: 50,000/=
Afisa Mtendaji Mkuu/Kabidhi Wasii Mkuu
Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA)
Mtaa wa Kipalapala,
Kiwanja Na.516
Upanga
S.L.P 9183
Dar es Salaam.
Simu Namba +255 - 22 – 2153069
Nukushi +255-22-2153075
----
Ikiwa ulipitwa na masomo ya awali, bofya hapa na hapa kuyarejea.


RSS Feed