Mwenye njaa jama usin'letee kesi! Shauri zako umetaka mwenyewe kujidondoshea udenda! haya sasa ukapike!
Kwa video nyingine zaidi za mapishi moto moto kama vile bajia, halwa, mboga za majani, wali-mbuzi, maini-vitunguu, pasta, n.k, basi tizama video za SomaliFoodBlog (Youtube).
Comments
Leave a Reply
Vitabu vya Watanzania
Bofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala