Ni habari iliyopo katika taarifa iliyosomwa TBC saa saba mchana huu. Bofya audio za pleya zifuatazo kuzisikiliza.

Kipindi cha Jungu Kuu mchana huu
 


Comments

Ng'wanamvanga
09/02/2012 02:54

Vp wateule wa Rais maana hao ndio miungu watu akiwemo Pinda!

Reply
Matoz
09/02/2012 03:16

kumbe serikali inaweza kukutana na madaktari za kupata muafaka jamani hadi wau wafe na serikali kutishiwa itoke madarakan ndio inafanyakazi kweli hii shida kubwa, halafu et kisiwa cha amani, bravoo wananchi nendeni sasa kwa wingi muhimbili mkapate tiba

Reply



Leave a Reply