Umewahi kufikwa na siku ambayo tangu mawio hadi machweo ya jua hakuna jambo moja unalofanya linaloelekea kufanikiwa bali ni vigingi, kero, karaha na maumivu tu? Nguruwe huyu kwenye video amenikumbusha siku hizo!
 


Comments

04/02/2012 22:56

Siku kama hizo zipo..Duh Kazi kwelikweli

Reply
Baba T
06/02/2012 08:25

hahahaaaaa, tamu sana eti

Reply



Leave a Reply