Comments

Boniface proper
09/02/2012 07:05

katika jamii daktari ni mtu muhimu sana kwani ndiye mwenye uwezo tu wa kuurepea mwili wa binadamu pindi anapopatwa na matatizo ya kiafya. hili halina ubishi kwani wote ni mashuuda wa maafa yaliyojitokeza kipindi hichi cha mgomo, nimesikia waziri mkuu amemwagiza naibu katibu mkuu kuwaandikia barua ya likizo mh blandina na deo.kama adhabu kwa upande wangu hii haitoshi wnapaswa kuadhibiwa zaidi kwani wamesababisha madhra makubwa mno kwa sababu ya uzembe, nimwombe Mh Raisi asiogope kuwachukula hatua kali za kinidhamu waziri wa afya na naibu wake ili iwe fundisho kwa mawaziri wengine waliopewa dhamana, mwisho nawapongeza madocta kwa ujasiri wao kwani watazania wengi hawana ujasiri wakitishiwa tu wanakaa kimya na hili viongozi wetu wanalitumia kama nyenzo ila kwa madocta wamegonga mwamba,Hivyo wamejifunza vitish havisaidii kitu kwa watanzania wa leo.

Reply



Leave a Reply