Ni audio iliyorekodiwa toka kipindi cha Dira ya Dunia cha BBC Swahili kuhusu Mgomo wa Madaktari na Mkutano wao na Waziri Mkuu, CPL Muhimbili, Kauli za viongozi mbalimbali wa Chama Cha Madaktari Tanzania (MAT) na Mwenyekiti wa Kamati ya Madai ya Madaktari, kisha tathmini ya bwana Jenerali Ulimwengu.

Ili kusoma TAMKO RASMI la Kamati ya Madaktari bofya hapa 
 


Comments

Baba T
10/02/2012 08:17

It's great, thanks God kwa kuleta wepesi japo tumechelewa watanzania wenzetu wengi washakufa. Nadhani waziri wa wizara husika nae alistahili ajiuzuru

Reply
10/02/2012 08:33

Baba T,
Sidhani kama kwa wakati huu tuna utamaduni wa "kujiuzulu" nchini Tanzania labda, labda, labda kwa kuwajibishwa. Neno "kujiuzulu" bado ni msamiati wasiouelewa viongozi.

Waziri wa Wizara husika kwenye taarifa ya habari iliyopo gazeti la Mwananchi amesema, "Waziri Mponda: Bado natathimini, nitaamua"

Ramadhan Semtawa
WAKATI Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Blandina Nyoni na Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Deo Mtasiwa wakisimamishwa kazi, Waziri wa wizara hiyo, Dk Haji Mponda, amesema kukimbilia kujiuzulu kabla ya kutathimini jambo husika siyo suluhu ya kutatua tatizo.

Habari kamili: http://www.mwananchi.co.tz/habari/-/20114-waziri-mponda-bado-natathimini-nitaamua

Reply



Leave a Reply