Niliahidi kumtumia ujumbe "host" ili atizame kama kuna hitilafu yoyote iliyotokea kwenye "code settings" za kisanduku cha maoni. Nilifanya hivyo na haya ndiyo majibu toka kwao:
|
|
Jana niliandika ujumbe kuhusu tahadhari na shamani kwa usumbufu uliowapata baadhi ya watu kutoka kwa matapeli wanaoperuzi tovuti na kunyofoa anwani za watu kisha kuwatumia ujumbe wa kutia mashaka. Niliahidi kumtumia ujumbe "host" ili atizame kama kuna hitilafu yoyote iliyotokea kwenye "code settings" za kisanduku cha maoni. Nilifanya hivyo na haya ndiyo majibu toka kwao: CommentsEvans 01/02/2012 05:04
You are wonderful Subi. Leave a Reply |