Vijana Erick Kiari kushoto Abel Adrian katikati na Anaheri Mkindi wakiwa chini ya ulinzi katika kituo cha polisi mkoa wa Morogoro baada ya kutuhumiwa kukutwa na meno ya tembo vipande 51 wakati wakisafiri kutoka mkoa wa Mbeya kwenda jijini Dar es Salaam kufuatia kukamatwa eneo la Msamvu mkoani Morogoro. (picha: blogu ya Juma Mtanda) 
 


Comments

Mtanzania
10/02/2012 07:36

Hawa wamekosa na wamekamatwa! Je viongozi wetu wanaotuibia billions either kwa ten percent au mikataab feki au vinginevyo, richmond etc mbona wanakula nchi na wanaendelea kushikilia nyadhifa? Hawa wako chini ya ulinzi na najua kama hawana uhusiano na kiongozi wa sirikali basi imekula kwao. Sasa na hawa wala rushwa wanaofahamika na mafisadi wanaofahamika wanaendelea kula nchi hapa inakuwaje? tukilinganisha, mimi nitawapa pole hawa jamaa maana walichofanya ni peanut kulinganisha na mafisadi. Pia kama si ufisadi hawa jamaa inawezekana wangekuwa na either biashara ya kujikimu wasifanye hivi au vinginevyo wangekuwa wameajiriwa kwenye kiwanda au kampuni fulani!

Reply



Leave a Reply