Ziara iliandaliwa na Hemophilia Society of Tanzania.
taarifa na picha via Richard Minja, Rais wa HST.
----
Ufunguo:
Hemophilia ni tatizo la damu kutoganda kutokana na hitilafu anayorithi mtu wakati wa kuzaliwa. Dalili zake zinazoonekana kwa macho ni pamoja na kutokwa damu mfululizo kwa muda mrefu unapotokea mchubuko, kukatwa/kujikata, kutoneshwa/jitonesha kidonda n.k. Vipimo vya maabara huthibitisha ikiwa dalili hizo ni za ugonjwa wa hemophilia ama la.


RSS Feed