Ikiwa ulipitwa kusikiliza taarifa iliyozungumzia hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, bofya hapa kurejea toleo lililotangulia. Commentsasali 28/04/2012 07:04
Hili la kuangusha machozi wengi hulichukulia kuwa ni udhaifu, tena unapoangusha machozi mbele ya wakubwa na wadogo zako watu hushangaa sana na kushindwa kabisa kuelewa nini maana yake. Lakini kitaalamu kuangusha machozi humaanisha mwisho wa vita moja na mwanzo wa vita nyingine. Tundu Lissu anapoangusha chozi hapa anamaanisha "even hard people do break down, and the only way too collect themselves ni kuangusha chozi" baada ya hapo unapata ujasiri ambao even a sky can not be the limit. Redio. 28/04/2012 08:22
Makamanda wa ukweli huwa hatulii. Mgeshi hutakiwi kulia bana. bashir 07/05/2012 12:09
watu wanafiki sana, pinda alilia walimwita eti kiongozi hutakiwi kulia, leo lisu analia wanasema ni jasiri, acheni unafiki, ila mkitaka somo kwanin watu hulia nipo tayari kutoa somo Your comment will be posted after it is approved. Leave a Reply |