Shukurani: Tamko limenukuliwa kutoka kwenye blogu ya Ziro & Tina
Comments
K.L
25/09/2012 01:49
Sijaelewa kabbisa nini hasa kazi ya hii BAMAKITA. Na kikubwa kinachonichanganya zaidi ni kuwa hii taarifa ni ya KISIASA ZAIDI KULIKO KIDINI.
Reply
Mshauri
26/09/2012 19:26
Taasisi kubwa ya kidini inapoingilia mambo ya kisiasa ya chama flani kama inavyojionesha wazi hapa kunawafanya wanachi kuihusisha dini hiyo na mabaya ya chama hicho. Nashindwa kuamini kuwa uislamu na waislamu wote hapa nchini hamulioni hili na kulikemea.