Picture
Picha na Dkt. V. Mahamba
Picture
Picha na Dkt. V. Mahamba
Picture
Picha na Dkt. V. Mahamba
Picture
Picha na Dkt. V. Mahamba
Picture
Picha na Dkt. V. Mahamba
Picha zote zimepigwa (na ni “copyright”) ya Dkt. V. Mahamba.
 


Comments

kim
07/02/2013 22:49

whats new of it?

Reply
Mtu Kwao
07/02/2013 23:07

Hii ni sehemu ya Seminari kuu ya Kibosho(R.C) Wanaposomea PHILOSOPHY for 3 years vijana wanaojiandaa kwa upadre.Naona ni sehemu nzuri sana.KIM,usidhani kila unachijua na mwenzako anajua,na kila ajuacho mwenzako inawezekana haukifahamu.Hivyo aliyetuma picha hii ni kwa ajili ya wale wasioijua sehemu hiyo.ASANTE SUBI kwa kuweka picha hizi.Ni nzuri sana

Reply
Ernest
08/02/2013 07:39

Dk Mahamba asante kwa kutiletea an informative photo of the Kilimanjaro Mt. It is a pride of Tanzania and Africa in general. Thanks.

Reply
Nice
08/02/2013 09:23

Mtu kwao, achana na KIM yeye kila kitu ni kupinga pinga tu. nimekwisha mfuatilia sana.

Reply
08/02/2013 10:15

Hiki ni kivutio kikubwa sana, na huenda kikawa moja ya maajabu ya dunia! Mimi nimewahi kusomea Umbwe, shule ambayo ipo karibu sana na mlima huu, unavutia sana

Reply
mntambo
08/02/2013 10:26

Picha nzuri sana kwa kuutangaza mlima wetu.

Reply
SBT
08/02/2013 15:52

Whats new is that the snow (theluji/barafu) has greatly ebbed/diminished. I think this is the effect of global warming on this otherwise great and beautiful mountain.

Reply
DJ. Masao
08/02/2013 17:02

Sweet home Moshi Kilimanjaro, the pride of Tanzania and Africa at large. People kep on planting trees. Cut not a tree without replacing 3+ trees. God is great

Reply

Your comment will be posted after it is approved.


Leave a Reply