MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA
TANGAZO KWA UMMA - KITENGO CHA HUDUMA KWA WATEJA


Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inapenda kuwatangazia Wateja na Watumiaji wote wa Bandari kwamba imeanzisha Kitengo Maalum cha Huduma kwa Wateja kitakachopokea malalamiko, kero, taarifa, maoni, ushauri juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka.

Kuanzishwa kwa Kitengo hiki ni moja kati ya Mikakati ya Mamlaka ya kuboresha huduma zake na kuondoa kero kwa Wateja na Watumiaji wa Bandari.

Kwa huduma ya haraka tafadhali piga namba zifuatazo;

0754 292998
0756 849868
0788 888801
0789 334398

Namba hizi pia zinapatikana kwenye mtandao wa TPA www.tanzaniaports.com

MENEJIMENTI
 


Comments

Mwana Mwema
09/02/2013 11:46

Mmechelewa sana but let us believe that "Better late than never". Hongera sana Mwakyembe for the very best work you are doing.. Mungu akupe maisha marefu.

Reply

Your comment will be posted after it is approved.


Leave a Reply