ukisikia kununua mbuzi kwenye gunia ni hapa...........kama hata wakubwa ni waongo nanai anategemea wadogo wawe wakweli ..wahenga wanasema tunda lazima lifanane na mti...nadhani elimu ina yoyoma angalieni mifumo ya elimu ya nchi zilizo endelea labda itasaidia na si kupoteza muda kuwalaumu na ulaghai wa malipo ya waalimu nikiwepo.......mungu ailaze roho ya marehemu baba wa aifa nyerere mahali pema,,,nilifurahia elimu yake enzi hizo.......
Reply
ASM
02/02/2013 16:36
MBATIA HOJA ZAKE MARA NYINGI ZINA MANTIKI ILA NAMLAUMU KWA KUFANYA UTAFITI USIONA KIWANGO INAPOFIKIA NAKALA ZA MITAALA ZIPO UNASEMA HAZIPO UNAKUWA UMEPOTOKA SANA KISHA UNAOMBA NAKALA ILI UJENGE HOJA MPYA HAINGII AKILINI NI KUPOTEZA MUDA WA BUNGE ILI WAKAE MUDA MREFU BUNGENI WAJIPATIE POSHO ILA SISI WALIPAKODI TUNAHOJI KODI ZETU