Kama unatumia internet kupiga simu, ukisoma na kulinganisha gharama za kupiga simu mathalani kutoka ng’ambo/ughaibuni kwenda kwenye simu za landline au mobile kokote (mfano Tanzania),
DialNow ndiyo wenye kutoza nafuu. Gharama zao kwenda mobile phones kwa sasa ni $0.054 (call na text).
- Unaweza kutizama gharama na ku-install kwenye computer yako kupitia tovuti yao ya DialNow.com
- Unaweza kupiga/text kutoka kwenye mobile/tablet kwa ku-install app inayopatikana mobilevoip.com
- Unaweza kutizama gharama mara kwa mara kila unapotaka kupiga simu kwa kulinganisha tozo za VoIP kadhaa kwa kutumia tovuti ya progx.ch/home-voip-prixbetamax... mfano ni unavyoonekana kwenye screen-shots hapa.