WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA

TAARIFA KWA UMMA

UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,amemteua Prof. CUTHBERT F. MHILU, Mhadhiri wa Chuo Kikuucha Dar Es Salaam kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Viwango Tanzania, TBSkuanzia tarehe 18 Februari, 2013.

Kufuatia uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Abdallah Omary Kigoda (Mb), ameteua Wajumbekumi na moja wa Bodi hiyo. Wajumbe walioteuliwa na mahali wanapotoka ni kamaifuatavyo.

S/NJINATAASISI ANAKOTOKA
01.Bw. Geofrey SimbeyeMwakilishi wa TPSF
02.Bi. Fatma Riami DiwaniMwakilishi wa Viwanda Vidogo na Vya kati
03.Bw. Michael KambaMwakilishi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
04.Dkt. Pamela L. SawaMwakilishi wa Wizara ya Afya
05.Bi. Magdallena UtouhMwakilishi wa Tume ya Ushindani
06.Bw. Jasson B.B BagonzaMwakilishi wa Wizara ya Fedha
07.Bw. Juma RajabuMwakilishi wa Umoja wa wajumbe wenye uelewa wa masuala ya Viwango
08.Bw. Rashid A. SalumMwakilishi wa Umoja wa wajumbe wenye uelewa wa masuala ya Viwango, Zanzibar
09.Prof. Ntegua MdoeMwakilishi Vyuo vya Elimu ya Juu
10.Dkt. Fidea L. MginaMwakilishi wa Wizara ya Viwanda na Biashara
11.Bw. Leandry KinaboKaimu Mkurugenzi Mkuu


Uteuzi wa wajumbe hawa, unaanza mara moja.
Imetolewa na Wizaraya Viwanda na Biashara 
S.L.P 9503 
DARES SALAAM.
 


Comments


Your comment will be posted after it is approved.


Leave a Reply