Meneja mawasiliano wa Shirika la umeme nchini Tanzania (TANESCO) Bi Badra Masoud limetoa ufafanuzi kuhusiana na matukio ya kukatika umeme yaliyolikumba jiji la Dar es Salaam kwa siku za jana na leo na kusema hilo limetokana na hitilafu katika vituo vya kusambazia umeme vya Ununio, Kunduchi, Kijitonyama pamoja na Masaki. Amesema mafundi wa umeme wanaendelea na zoezi la kuhakikisha huduma hiyo inarejea kama kawaida. Add Comment Ni sehemu ya kipindi cha Jahazi ambapo wananukuu na kuzungumzia mkutano wa Waziri Mkuu na Madaktari CPL, Muhimbili leo pamoja na kukamatwa kwa wanaharakati. Haemophilia Society of Tanzania congratulates Government, Doctors for restoring medical services 09/02/2012
Dear Wavuti We stated above congratulates government and doctors for humanine decision to restores medical services at Muhimbili. We thanks Wavuti for info/updating us about the issue. --- We, the Hemophilia Society of Tanzania (HST) congratulates, supports and cheers the successful efforts which were undertaken by government in particular the Prime Minister Hon. Mizengo Pinda, Medical consultants, Physicians/ Doctors and entire medical community to restore medical services at Muhimbili Referral Hospital. We trust that the decisions made today will be sustained for the betterment of the entire Tanzania community including people with blood clotting disorder. As you may know, our society is officially registered under the Ministry of Home Affairs (2009) vide Societies Rule of 1954 with Reg. No. SA 16403. Its purpose is “Independent diagnosis and management of bleeding disorders within Tanzania”. The objectives are; to create awareness in Tanzania about bleeding disorders and mobilize patients to lobby for access to clotting factors and improved medical services. Hemophilia is a hereditary life long disease associated with continuous bleeding, trauma and sometimes death if a vein is injured/cut and no treatment is provided within a reasonable tine. Therefore, we say an excellent humanitarian and life saving decision was made. “Treatment for a ALL” Long live Tanzania Richard Minja President Facebook update status ya Tanzagiza inasema hivi... "Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu, Dkt. Hellen Kijo-Bisimba, Mkurugenzi Mtendaji wa Sikika, Irenei Kiria, na Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Ananilea Nkya, wakamatwa na polisi, na sasa wanapelekwa Oysterbay Police kwa kosa la kutembelea hospitali ya Muhimbili leo, na watashitakiwa kutaka kusababisha uvunjifu wa amani...." Na ukurasa wa twitter wa Irenei ameandika:
Taarifa za kukamatwa kwa viongozi hao ziliwafikia watu mbalimbali na baadhi yao ni Madaktari waliokuwa wakizungumza na Waziri Mkuu ambapo katika mapendekezo yao walimtaka Waziri Mkuu atoe amri ya viongozi hawa wa mashirika na asasi za kiraia, na wanaharakati waachwe huru mara moja. Tukio la kuwakamata lilitokea katika eneo la Muhimbili.
Unaweza kufuatilia "update" status ya suala hili kupitia twitter.com/ChangeTanzania na katika tweets mbalimbali kwenye widget ya tweets za Watanzania inayoonekana kwenye ukurasa wa "habari" katika tovuti ya wavuti.com | Vitabu vya WatanzaniaBofya picha ya kitabu unachokitaka ili ujinunulie nakala
Yaliyomo/CategoriesAll Hifadhi/ArchivesFebruary 2012 |




RSS Feed