Shukrani za pekee twazitoa kwa blogu ya Mubelwa Bandio kwa kukusanya linki nyingi ambazo imetuwia rahisi kuzinukuu hapa.
Linki za tovuti nyingine za Kitanzania zinakaribishwa
- Waweza kuongeza linki kwa kubofya 'comments' na kuandika linki hiyo (hizo). - Linki zisizokubaliana na maudhui ya tovuti hii zitafutwa bila ya aliyeandika kufahamishwa. - Mwennye tovuti hii kwa utashi wake anazo haki zote na mamlaka ya mwisho ya kuondosha ama kubakisha linki yoyote bila kuhoji wala kutoa maelezo ya aina yoyote ile.