Funny : Wasifu wa waendao vyuoni Tanzania

Hii nimeipata toka kwenye kundi pepe fulani, nimeona bora nichekeshee wasomaji wa blogu. Amacho nimegundua kimesahaulika ni MUHAS (zamani MUCHS) sijui walikosa wasifu wao ama iliwawia vigumu kuwatungia wasifu, sijajua bado...

HIZI NDIO STYLE ZA WAENDAO VYUONI.

1. Maskini, waoga na washamba - SUA

2. Matajiri, wajanja na wenye akili - MZUMBE

3. Wenye akili chache, wavivu na matozi, masister duu - CBE DAR

4. Malaya, wasanii, wauza sura na wasio jiweza kiakili - IFM

5. Upeo mdogo, wapenda sifa na watoto wa mama - TUMAINI UNIVERSITY

6. Wazalendo wenye asili ya Arusha na Moshi - MUCCOBS

7. Wapenda ofa duni za serikali - TIA

8. Waliokosa vyuo kabisa - RUCCO

9. Mafundi - DIT, ST JOSEPH

10. Wapenda dezo na wamekosa nafasi UDSM - UNIVERSITY OF DODOMA

11. Wasiojali future, watoto wa geti kali - SAUT

12. Wasio na uwezo wa kipesa na kiakili - IAA

13. Wanaosoma sana but silent - ST JOHN, KCMC, BUGANDO

14. Wasiofahamu umuhimu wa elimu - CHUO CHA MIPANGO DOM, ZANZIBAR UNIVERSITY, MORO MUSLIM, NYUKI TABORA

15. Wakujitolea na future duni - DUCE, MUCE, KIGURUNYEMBE

16. Wasiojali nchi, mamluki - ABROAD

17. Watu wa sifa zote hapo juu za kila aina – UDSM na ARDHI