Skip to content
wavuti
  • Home
  • Archive
  • Links
  • About

Mfano wa nyumba za wafanyakazi wa Reli Tanzania

Published on Wednesday, August 26, 2009 
Baadhi ya nyumba za lililokuwa Shirika la Reli Tanzania, kwa sasa TRL katika stesheni ya Mikumi. Watumishi wanaendelea kuishi kwenye nyumba hizi. Picha na habari toka kwenye blogu ya kaka Beda wa Lukwangule Ent. Ama kweli maisha bora kwa kila MTanzania yanakuja, tuendelee kuvuta subira kwani mambo mazuri hayataki haraka.
[MAKAZI+ya+wafanyakazi+wa+trl+mikumi.jpg]
« next post « » next post » HOME
Copyright © wavuti | Design by wpmagg | Theme by newbloggerthemes