Soma na fuatilia habari kupitia gazeti tando la MAJIRA

Kwa muda sasa nimekuwa nikisoma habari mbalimbali za ndani na nje ya Tanzania kupitia magazeti mbalimbali na kwa siku mbili tatu hivi, nimepata habari za kina na endelevu kupitia habari zinazoandikwa katika gazeti tando la Majira kupitia kisoma habari (RSS feed reader).
Nimegundua kuwa tovuti hii si nzito kufunguka na pia kurasa zake ni nyepesi kuperuzi. Baadhi ya habari za wiki hii zinazosisimua ni pamoja na:
http://www.majira.co.tz/templates/rhuk_milkyway/images/majira.png


#Article TitleHits
1Vilio, majonzi!33
2Hofu: Wanafunzi Lyamungo washinikiza shule ifungwe21
3JK kuongoza mazishi ya Askofu Mayalla23
4Mauaji mfanyabiashara Mbeya: Polisi wadaiwa kutaka kuwabambika kesi ndugu17
5Mgomo TAZARA wamalizaka8
6Wagonjwa wajifunika khanga Hospitali ya Mkoa9
7MOTO IDODI: Waliokufa kuzikwa kaburi moja leo409
8Waathirika mabomu wapokea fidia kwa shingo upande287
9Moto wateketeza wanafunzi 12255
10Kumwadhibu Sitta ni kulinda mafisadi-Slaa719
11DC aagizwa kukamata waliowapa mimba wanafunzi108
12DC aagizwa kukamata waliowapa mimba wanafunzi69
13Majambazi yateka kijiji, yajeruhi, yapora mamilioni366
14Wagombea CHADEMA wachapa makonde652
15Mbunge adaiwa kumzaba vibao fundi bomba546
16Shahidi: Nilimwona Sendeka akiwa na bastola334
17Utata wa namba fidia Mbagala wazua hofu105
18Mahakama yawaonya watuhumiwa EPA227
19Mahanga: Maamuzi NEC-CCM yaheshimiwe244
20Msalaba Z'bar wamwangukia JK1027
21Shibuda: Bunge limemdhalilisha nani?1194
22Hatujaingilia uhuru wa Bunge- CCM741
23Shahidi EPA aeleza pesa zilivyochotwa BoT421
24Kilichomsibu Sitta ni upungufu wa Katiba-LHRC519
25Sakata polisi picha za uchi: Mume wa mjamzito apinga kesi kuendeshwa kijeshi492