Wenger bwana, sasa chupa imekukosea nini?

Mi nlibutua tu chupa ya maji.... nilifanya hivyo kwa kuwa nilikuwa nimechukizwa, lakini si kwa sababu eti nilidhani hakuwa offside - ni maneno ya kocha wa Arsenal aliyosema baada ya kuulizwa kilichomsibu hadi  kutolewa nje dakika ya mwisho kabisa ya mechi kati ya Arsenal na Manchester United siku ya Jumamosi, 29 Agosti 2009. Wenger alibutua chupa ya maji kiwanjani kwa hasira punde tu goli la kusawazisha la mchezaji Robin VanParsie dhidi ya ManU kukataliwa kwa madai ya kuotea. Mechi iliisha kwa ManU kushinda 2 dhidi ya bao 1 la Arsenal.


"I just kicked a bottle of water...." "I did it because I was disappointed, not because I thought it wasn't offside."

He added: "There were 30 seconds to go and I didn't know where to go. I didn't know you were not allowed to kick a water bottle, although it was a good kick. We were the better team but we lost the game. It is very difficult to swallow." - Wenger