Habari zinazoripotiwa kuhusiana na uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura mjini Pemba na kisiwani Zanzibar si za kufurahisha kwa namna yoyote ile.
Majuzi hapa nilisoma habari ya watu ambao ni raia wa Zanzibar kuwa wameamua kwenda kuomba hifadhi nchini Somalia kutokana na 'vurugu' hizi, si utani, habari iliandikwa na kuripotiwa katika tovuti ya BBC (bofya linki hao chini usome habari nzima).
The Zanzibari residents in Mogadishu say that out of the 192 families living in Somalia, 85 of them are still living in Mogadishu."There are six of us but we only have one mattress to sleep on, so we put our upper bodies on the mattress and our legs on the ground," Mr Ja'far says - BBC.Habari hii imekuwa ikiripotiwa kila kukicha katika vyombo kadhaa nchini Tanzania.
Mi najiuliza, ikiwa hali hii inatokea wakati wa uandikishaji kupiga kura, itakuwa vipi wakati wa kupiga kura yenyewe? Napata wasiwasi, nahisi hali haitakuwa shwari.
Vurugu Pemba / Pemba Chaos: