Madereva valuvalu bado wanaishi Published on Tuesday, September 15, 2009 Lori la kubeba mchanga likiwa nyang'a nyang'a baada ya kugongwa na treni ya mizigo katika eneo la Makulu mkoani Dodoma.Lori hilo lilikuwa linakatiza eneo la reli lisilo na kivuko.Picha zimepigwa na Jube Tranquilino