Mashine za ATM za NBC zitakuwa 'not richabo' Septemba 8-9 Published on Monday, September 07, 2009 Taarifa zinasema kuwa mashine za kuchukulia fedha (ATM) za NBC hazitafanya kazi tarehe 8 hadi 9 mwezi huu wa Septemba mwaka huu huu wa 2009.Wateja wanataarifiwa kuchukua fedha kabla ya tarehe tajwa ili kuepuka usumbufu wowote utakaoweza kujitokeza.