Mwakilishi wa Tanzania katika BBA 4 ni...

Steven Kanumba ndiye (?) mwakilishi wa Tanzania katika Big Brother Africa 4 (BBA 4)...
Wasifu wake na mengi kumhusu yeye, tafadhali nenda kwenye tovuti yake: kanumba.com
BBA 4 anacheza shere mwaka huu kwa kurusha watu roho.... tunaweza kusikia ndivyo sivyo b'dae!
Ingekuwa vipi au itakuwaje ikiwa ndivyo ama sivyo?
Tusubiri tuone vimbwanga vya Big Brother mwaka huu anavyochezea zig zag.