Hotuba: Julius Kambarage Nyerere (pt 1/3) [updated]

Hotuba hii niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!

Hii ni rekodi kutoka kwenye kanda ya kaseti (audio cassette) niliyonayo yenye kumbukumbu ya hotuba aliyoitoa hayati Mwalimu mnamo siku ya Jumanne mwezi Machi tarehe ya 14 ya mwaka 1995 katika hoteli ya Kilimanjaro (sasa Kempinski).
Siku hiyo Mwalimu alizungumzia mengi ikiwa ni pamoja na "nyufa zinazoitikisa nyumba ya Tanzania". Mwalimu alisema:


(pleya itachukua muda kusikika kusikika kulinganana kasi ya intaneti unayotumia. Ikiwa husikii kwenye pleya moja, jaribu nyingine)