Hii video niliiposti mwaka jana, hivi leo nairudia ikiwa ni katika maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu, Baba wa Taifa, hayati Julius Kambarage Nyerere!
Marehemu Baba wa Taifa la Tanzania, Mwl. Julius Kambarage Nyerere alipozungumza na WanaCCM mwaka 1995 katika ukumbi wa Chama cha Mapinduzi huko Dodoma (nadhani ilikuwa ni Chamwino) katika ukumbi wa Chimwaga (asante kaka Michuzi I.M kwa marekebisho sahihi) kwenye mchakato wa kumtafuta mgombea wa kiti cha uraisi kwa tiketi ya CCM. Mwalimu alisema: Audio: