Skip to content
wavuti
  • Home
  • Archive
  • Links
  • About

SUBIRA: Neno la Uzima - Focolare Movement

Published on Friday, October 16, 2009 
Nimepokea maneno haya ya busara toka kwa Padre Franco nikaona si vyema kula na kushiba peke yangu bali kuwapa na wengine pia.

P. Franco ni mwanzilishi wa kituo cha Faraja Centre na maelezo yake niliandika kwa ufupi katika posti iliyopita (bofya hapa kusoma) kumhusu yeye na huduma za pekee zinazotolewa kwa wananchi wa vijiji na vitongoji kadhaa vya mkoa wa Iringa.



« next post « » next post » HOME
Copyright © wavuti | Design by wpmagg | Theme by newbloggerthemes