Askofu Anthony Mayala afariki dunia

Habari hii ya kusikitisha imeripotiwa katika gazeti tando la Majira na Daud Magesa kutoka Mwanza. Blogu hii inatoa pole kwa WaTanzania wote hasa wale walioguswa na msiba huu kwa namna yoyote ile.

ASKOFU wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Mwanza Mhashamu Anthony Mayala (pichani) amefariki dunia. Askofu Mayala alifariki dunia jana saa nane mchana katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) iliyopo Jijini hapa kwa ugonjwa wa shinikizo la damu.
Habari zilizopatikana kutoka makao makuu ya jimbo hilo yaliyopo Kawekamo, zilisema Askofu Mayala aligua ghafla juzi na kupelekwa hospitalini hapo kwa ajili ya matibabu.
Askofu Mayala aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo la Mwanza baada ya mtangulizi wake, aliyekuwa Askofu marehemu Renatus Butibubage, kuhamishiwa jimbo la
Geita.

Kifo cha askofu huyo kimepokelewa kwa majonzi makubwa na wakazi wa Mwanza hususan waumini wa kanisa Katoliki ambao Jumatatu ya wiki hii walimwona akiwa mzima
akiendelea na huduma za kiroho.Wiki iliyopita alimsimika na kumpa Bw. Paul Nzungu, daraja la Upadrisho.

Katika uhai wake alisaidia kuleta maendeleo ya jamii ikiwemo elimu na kushiriki kikamilifu kuanzisha Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) na Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Bugando (BUCHS).Mkurugenzi wa Hospitali ya Bugando Dkt. Charles Majinge, alipotafutwa kuzungumzia kifo hicho hakupatikana kwani simu yake ilikuwa haiko hewani.

Funds for people with disabilties going into wrong hands in Tanzania

Afadhali awepo mtu wa kuzungumzia suala hili la kuiba mali na fedha kwa ajili ya Walemavu wa viungo mbalimbali. Ningependa kuona tochi ikimulikwa pia kwenye BONGO (Briefcase Operated NGOs) ambazo huomba na kupata misaada kwa madai ya kuwasaidia watu wanaoishi na VVU/UKIMWI au yatima il hali walengwa hawafikiwi kabisa. Malalamiko haya nimeyasikia kutoka kwa baadhi ya watu wanaoshutumu kutumiwa kwa hali zao na watu wengine kwa faida binafsi za watu hao.

From Arusha Times in Tanzania:
Disability group in Tanzania says funds for people with disabilties going into wrong hands
The Association of The Tanzanian Disabled Society - "Chama cha Walemavu Tanzania", (CHAWATA) has called on the government to establish proper channels through which funds to the disabled, particularly the deaf, are administered The Executive Director of CHAWATA, Dickson Veange, told reporters at a meeting held at the Museum Hall that most disabled funds had gone into wrong hands.

He said the disabled people were simply told funds couldn't reach them for lack of application.

The Director said the disadvantaged people had no awareness as programs to sensitize them and under the circumstances funds meant for them were embezzled by a few unscrupulous individuals.

Giving an example, Veange said the funds were misdirected as the disabled did not know opportunities and policies for their betterment.

In further comments a delegate from the CHAWATA headquarters, Rafiki Msafiri, asked the government to increase the money earmarked for the disabled people in the country.

Msafiri said there were circumstances where a deaf person lost his basic legal rights for lack of interpreter of the sign language in the courts of law.

He therefore called for more training for sign language for them and other members of the society to ease the present communication snags that they face

Trish Greene International Cancer Nursing Training Workshops

Target candidates
Qualified nurses in resource-constrained countries

Duration 3-5 days
Available 5-15 per year
Value A maximum of US$ 15,000 for travel and stipend for 3 international faculty members
Application closing date None. Applications are accepted at any time
Notification of result Generally within 60 days of registration


Workshop subjects
A maximum of US$ 15,000 for travel and stipend for 3 international faculty members
Note: CNTW applications are accepted in English, French, or Spanish. A special application procedure by the receiving host organization applies

Funding
Trish Greene cancer nursing training workshops are supported by an educational grant from the Oncology Nursing Society and the Oncology Nursing Foundation.

Contact
For additional information on UICC Fellowships, contact UICC

By mail
Ms Beate Vought

[email protected]

Fellowships coordinator
International Union Against Cancer (UICC)
62 route de Frontenex
1207 Geneva
Switzerland

By telephone or fax
Telephone: +41 22 809 1843
Fax +41 22 809 1810


Source: http://www.uicc.org/Itemid=303