Masters and PhD Scholarships at The University of Oslo - Norway

This post was shared to us by Makulilo Jr

The Quota Scheme

The Norwegian Quota Scheme is a funding scheme offered by the Norwegian Government to students from developing countries, Central and Eastern Europe, and former Soviet states for studies at institutions of higher education in Norway. This funding scheme aims at offering specially designed, research-based Master's Degrees taught in English. The Quota Scheme also offers funding for Ph.D.-programmes and a one-year course in advanced Norwegian Language. Quota Scheme applicants should come from universities/institutions with formal cooperation agreements with the University of Oslo

Who May Apply?
Applicants for admission under the Quota Scheme must fulfill certain criteria in order to be considered for admission. Admission is limited and therefore extremely competitive.

Nationality
Only applicants from countries included in the list of countries eligible for Quota Scheme funding will be considered. Please note that applicants who live in another country than their country of citizenship, either temporary or permanently, cannot apply. It is a condition that the applicant applies for admission to the quota scheme from his or her home country, and can substantiate that he or she has been in the home country for at least one year prior to admission into the programme. Applicants from an eligible country, who are residing in another country on the list, may in some cases be considered. Quota Scheme students are expected to return home on completion of their studies in Norway.

Institutional Cooperation
Applicants should come from institutions with which the University of Oslo has a cooperation agreement. Potential applicants should check with their home institution to determine whether they have a cooperation agreement with the University of Oslo.

Women
Women are encouraged to apply. The University of Oslo gives priority to female applicants under the Quota Scheme.

Courses Offered
The Quota Scheme at the University of Oslo offers specially designed, English-taught Master's Degrees and a one-year programme in advanced Norwegian language studies. The Quota Scheme also offers funding to Doctoral Programme students.

1. MASTER'S DEGREES
2. DOCTORAL PROGRAMS
3. 1 YEAR PROGRAMME IN ADVANCED NORWEGIAN

Application deadline

1 November 2009: The deadline to submit the online 'Request for Application Form'.

1 December 2009: The Quota Application Deadline for the August 2010 enrolment.
This is also the deadline to submit all supporting documents. Late applications will not be considered
GO TO http://www.uio.no/english/academics/admission/quota/index.html AND READ WHOLE TEXT

Marufuku kuvaa nguo zenye rangi ya jeshi

Picha zimetoka kwenye tovuti mbalimbali mtandaoni.
Habari imeandikwa na Hussein Kauli wa gazeti tando la Mwananchi


JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limewataka wananchi kuacha mara moja vitendo vya kununua sare zake zinazouzwa na baadhi ya watu huko mitaani badala yake, watoe taarifa hilo wanapoziona zikiuzwa.

Akizungumza na Mwananchi katika maadhimisho ya miaka 45 ya JWTZ yaliyofanyika katika viwanja vya Airwing, Ukonga jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Huduma na Mavazi, Kapteni Changu Ndile, alisema mavazi hayo wanapaswa kutumia na wanejeshi tu wakiwa kazini, vitani na kwenye sherehe. Kaptemni Ndile alisema hata hivyo katika miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mtindo wa baadhi ya watu kuingiza nchini, sare zinazofanana za JWTZ, chini ya mwamvuli wa nguo za mitumba, jambo ambalo limewafanya wananchi kuzinunua na kuzitumia.

"Kuna sare katika baadhi ya majeshi ya nje zinafanana na za Jeshi la Wananchi wa Tanzania, hizi ni pamoja na za Jeshi la Majini la Marekani, sare hizi huingizwa nchini kama mitumba na kuuzwa kwa wananchi ambao baadaye huzitumia kama mavazi ya kawaida," alisema Kapteni Ndile. Alisema hata hivyo wananchi wanapaswa kujua, utumiaji wa sare hizo ni makosa na kwa hiyo wanapaswa kuachana nazo. "Hairuhusiwi kwa mwananchi yeyote kutumia sare hizi, tafadhali wale wanaouza mitumba wanapopata sare hizi naomba waziwasilishe kwetu kwa sababu kuziuza ni makosa," alisisitiza.

Alisema mara kwa mara jeshi hilo, limekuwa likiendesha misako katika sehemu mbalimbali, kutoka katika mikono mwa raia. Alielezea kufurahishwa kwake na hatua ya baadhi ya wananchi wanaosalimisha sare hizo kwa hiari na kwamba kuna haja kwa wengine kuiga mfano huo.

Mimba ya EPA yajifungua mtoto tutakayemlea hadi 2028!

SERIKALI imetakiwa kuilipa Benki Kuu Tanzania (BOT) deni la sh bilioni 135 lililosababishwa na hasara iliyotokana na matatizo ya uendeshaji wa Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA), iliyokuwa katika benki hiyo. Serikali imekubali kubeba mzigo huo lakini imekiri kushindwa kulilipa kwa mara moja hivyo imeamua kuanza kulipa deni hilo taratibu huku ikichajiwa riba ya asilimia 8.5 mpaka mwaka 2028.

Taarifa za kuaminika zimebainisha kuwa benki hiyo imepata hasara hiyo baada ya kulazimika kuwalipa waliokuwa wakidai fedha zao zilizohifadhiwa katika akaunti hiyo kwa vipindi tofauti vilivyokuwa na viwango tofauti vya ubadilishanaji wa fedha za kigeni kati ya mwaka 1985 na Juni 30, mwaka jana. Kukiri kwa Serikali kwamba hasara hiyo italipwa, kumeifanya benki hiyo itarajie kujipatia pato litokanalo na riba hiyo la Sh bilioni 10.8 kwa mwaka, ambayo ni tofauti na malipo ya deni hilo.

Kwa mujibu wa chanzo hicho, BoT imepeleka taarifa kwa Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustapha Mkulo, ikimkumbusha kuwa jukumu la uendeshaji wa EPA iliyokuwa NBC, lilikuwa la Serikali na hivyo hasara yake haistahili kubebwa na benki hiyo. BoT imemkumbusha Mkulo kuwa mwaka 1985, benki hiyo ilipewa dhamana ya kusimamia akaunti hiyo kwa niaba ya Serikali na hivyo ikalazimika kuihamishia akaunti hiyo kutoka NBC kwenda BoT. Taarifa hiyo ambayo 'HabariLeo' inayo, iliendelea kueleza kuwa akaunti hiyo wakati ikihamishiwa BoT, ilikuwa na Sh bilioni 6.6 tu.

Ilibainisha kuwa malipo mbalimbali kwa waliokuwa wakidai kwa fedha za kigeni kutoka katika akaunti hiyo, yaliendelea kufanyika kati ya mwaka 1985 hadi Juni 30, mwaka jana wakati ambao akaunti hiyo ilisimamishwa. Taarifa hiyo iliendelea kumbainishia Mkulo kuwa katika kipindi hicho, kulikuwa na tofauti za viwango vya ubadilishanaji fedha za kigeni na za Tanzania. Ilikumbusha pia kwamba kwa kuwa malipo yalitolewa kwa fedha za kigeni kwa wadai ambao walikuwa ni wa kigeni, tofauti za viwango vya kubadilishana fedha za kati ya mwaka 1985 na mwaka jana, ziliisababishia benki hiyo hasara ya Sh bilioni 135.

HabariLeo ilizungumza na Gavana wa Benki Kuu, Profesa Benno Ndulu, ambaye alifafanua kuwa deni hilo limetokana na ucheleweshaji wa malipo ya wadai ambao walipaswa kulipwa kwa fedha za kigeni na mabadiliko ya viwango vya kubadilisha fedha hizo za kigeni. Profesa Ndulu alifafanua, kwamba wafanyabiashara wa Tanzania katika miaka ya 1980 walilipa fedha za ndani NBC iliyokuwa ya Serikali na kuruhusiwa kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi, ambapo NBC ilipaswa kutafuta fedha za kigeni na kulipa waliowauzia Watanzania bidhaa.

Alibainisha kuwa wakati huo fedha hizo za kigeni zilikuwa zikipatikana BoT na katika benki ya NBC pekee ambayo ilikuwa ikimilikiwa na Serikali. Kwa mujibu wa Profesa Ndulu, kutokana na upatikanaji mdogo wa fedha hizo za kigeni, malipo kwa waliowauzia Watanzania bidhaa, yalicheleweshwa huku kiwango cha kubadilisha fedha kikipanda kutokana na kushuka kwa thamani ya sarafu. “Kwa mfano, BoT ilipochukua EPA, ilichukua fedha zilizohifadhiwa kwa kiwango cha ubadilishanaji wa Sh 7.14 kwa dola, lakini wakati wa kulipa deni, ililipa kwa kiwango cha Sh 1,000 kwa dola na Serikali ikasema itafidia tofauti,” alisema Ndulu.

Alibainisha kuwa tofauti ya Sh 7.14 waliyoichukua kutoka NBC na kujikuta ikilipa Sh 1,000 kwa waliokuwa wakiidai NBC, ndiyo hasara waliyoipata. Alisisitiza iwapo Serikali ingekataa kulipa deni hilo, Sh bilioni 69 zilizorejeshwa na wafanyabiashara waliodanganya kuwa sehemu ya wadai, wasingeziruhusu zitumike kwenye kilimo na badala yake wangezitumia kufidia sehemu ya hasara hiyo.
Habari hii imeandikwa katika gazeti tando la HabariLeo.

AdSense tip: Allow and Block Google certified ad networks

[CertifiedNetworks_EN.PNG]

If you are registered to display Googe Ads on your blog, you might have wanted to have some control over what ads should or shouldn't appear on your blog. In the past, bloggers and site owners could filter up to 200 URLS of advertising sites that seemed to yield low income or in some cases, displaying some unwelcoming words. Recently, Google AdSense added this allow and block feature so that you can control ad networks. To do so, you have to:

 1. Sign in to AdSense.
 2. Click the AdSense Setup tab to see a summary of allowed and blocked ad networks.
 3. Click change beside the summary.
 4. Choose whether to allow or block ad networks in the 'Allowed ad networks' box:
 5. Click block beside the ad networks you want to block. (To block all Google certified ad networks, click block all.)
 6. Click allow beside the ad networks you want to allow.
 7. Click Submit.
Note: Selecting the 'Block all' option only blocks ad networks currently certified by Google. It doesn't automatically block ad networks that are certified by Google in the future. To block all future Google certified ad networks as well, follow the1 - 7 steps described above and then:
 1. Select Automatically block new Google certified ad networks.
 2. Click Submit.
NOTE:
 • Changes should take effect within approximately an hour.
 • You can unblock a network at any time by clicking the allow link beside it in the 'Blocked ad networks' box.
 • You may miss out on additional revenue by not automatically allowing new ad networks as Google certifies them.
 All this information is readily available on Google's Help page, the AdSense section at: https://google.com/adsense/support/bin/answer