Uzinduzi wa EP Album ya Msanii wa Mziki wa kizazi kipya katika miondoko ya Swahili Pop/House & Techno. Itafanyika tarehe 9 Machi 2014 CLUB BILICANAS.
Atasindikizwa na wasanii wakali WAKAZI, NIKKI MBISHI, NIITE SONGA, GODZILLA, M-RAP, COUNTRY BOY, AZMA, OBI na wengine kibao.
Ni siku ya Jumapili kuanzia saa nne asubuhi mpaka chweee kwa kiingilio cha 8,000 tuu. Pia EP Album ya JanB itapatikana pale kwa buku tano tuu.
Venue: Club billicanas
Date: 9th March 2014
Price: T.sh 8,000
Instagram @janbizo