Balaa la kuamini usemi “Ukinipiga utaona”

Kipofu kampiga mtu mpaka kamuua, akafikishwa mahakamani:

HAKIMU: Kwanini umefanya ukatili namna hii?

KIPOFU: Mheshimiwa marehemu alisema mwenyewe, 'We kipofu ukinipiga utaona', kwa vile nilikuwa na hamu kubwa ya kuweza kuona, nikajitahidi kumpiga sana ili niweze kuona, bahati mbaya kafariki na mimi bado sijaona.

Endelea kuvunja mbavu kwa kucheka na uncle John Kitime kwenye blogu yake ya CHEKA NA KITIME