Dar es Salaam: Rwanda Air yatoa semina kwa mawakala wa mashirika ya ndege

Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa semina hiyo.


Maofisa wa Air Rwanda wakiwa wamepozi kwa picha.


Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen (kulia), akimkabidhi cheti, mshauri wa kampuni ya uwakala wa ndege ya Safeline Osbert Barongo baada ya kushika nafasi ya tatu kwa kutoa huduma bora wakati semina iliyoandaliwa na Rwanda Air kwa ajili ya mawakala wake jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Rwanda Air Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun.