Foleni ya magari barabara ya Michenzani, Zanzibar Published on Monday, February 17, 2014 "Zanzibar ni Njema, Atakae Aje", mji wa Unguja unazidi kukuwa kwa kuengezeka kwa magari na kusababisha kuongezeka kwa foleni barabarani kama inavyoonekana barabara hii ya Michezani kuwa na foleni kubwa ya magari (picha: ZanziNews.com)