Jamii Production - Familia: Mjadala wa bajeti katika familia (pt II)

(image: moneymanagement.org)

Karibu katika kipindi cha FAMILIA kutoka Jamii Production.

Katika kipindi hiki, tumeingia katika sehemu ya pili ya mjadala kuhusu “Bajeti katika Familia” ambapo mbali na historia ya bajeti, pia tumesisitizwa kuhusu umuhimu wake, namna ya kulitekeleza na mengine mengi.

Wachangiaji studioni walikuwa ni Amos Cherehani ambaye ni mtaalamu wa masuala ya fedha, Denzel Musumba na Mubelwa Bandio.

Karibu uungane nasi katika audio iliyopachikwa hapo chini...