Jinsia moja Kenya wazindua kitabu chao “Invisible” Published on Saturday, February 08, 2014 Kevin Mwachiro - INVISIBLE Kitabu cha mtunzi Kevin Mwachiro chenye simulizi za wanawake na wanaume wenye hisia za mahusiano ya jinsia moja nchini Kenya kimezinduliwa kama inavyoonekana na anavyosimulia mtunzi kwenye video ya SwahiliHub iliyopachikwa hapo chini.