Kinana awapiga picha Bloggers wa Tanzania na Rais Kikwete

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na ma-Bloga wa Tanzania wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya uhai wa CCM katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. CCM ni chama ambacho kinachothamini sana mitandao hasi ya jamii.

Picha hii imepigwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana (anaonekana hapo chini...)

Abdulrahman Kinana
Abdulrahman Kinana