Kuitwa kazini: Tangazo la Februari 12, 2014 kutoka Utumishi
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili tarehe 06 hadi 29 Januari, 2014 kuwa walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa kuripoti kwa Waajiri wao kama ilivyooneshwa katika tangazo hili.