Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano kutoka Soweto, Mwanjelwa, hadi Uwanja wa Sokoine, ikiwa ni moja ya shughuli za maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa chama hicho tawala. (picha: Ikulu)
Picha zaidi za tukio hili zimepachikwa hapa chini...