Picha mbalimbali za Rais Kikwete akihutubia Baraza la Vyama vya Siasa leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa na maafisa wa serikali wakitoka kupata chakula cha mchana baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam (picha zote: ISSA MICHUZI)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na wenyeviti wa vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Shariff Hamad katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akigawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akifungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa katika mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa baada ya kufungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisoma dua kabla ya kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

 Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa wakiomba dua katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kabla ya kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

  Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili  katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

   Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

   Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

   Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha APPT-Maendeleo, Mhe Peter Mziray akisoma hotuba yake katika  kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili  katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Barza la Vyama vya Siasa Mhe. Peter Mziray

 Viongozin wakisikiliza hotuba kwa makini

 Viongozi wa vyama vya siasa wakiwa kikaoni hapo

 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiwa na Kamishna Isaya Mungulu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai DCI wakiwa wageni waalikwa kikaoni hapo

 Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho

 Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho

 Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho

 Viongozi wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete

 Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho

 Wajumbe wakifiuatilia hotuba ya Rais Kikwete

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

 Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na Katibu wake Mhe Wilbroad Slaa wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete kwa makini

 Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akifuatilia hotuba hiyo

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake

 Viongozi wakimpigia makofi Rais Kikwete

 Viongozi wakiangua kicheko 

 Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akitoa neno la shukurani

 Rais Kikwete, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariffa Hamad, Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama na maafisa wa serikali wakitelemka ngazini baada ya kupata chakula cha mcha pamoja

 Rais Kikwete na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariffa Hamad wakiongea

 Sehemu ya wajumbe wa kikao

 Wajumbe wa kikao

 Wajumbe kikaoni

 Wajumbe kikaoni

 Rais Kikwete akiendelea na hotuba

 Wajumbe wakisikiliza kwa makini

 Rais Kikwete akimalizia hotuba yake
 Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya

 Pokea rasimu ya katiba mheshimiwa...

 Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya

 Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya
 Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya

 Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya

 Rais Kikwete akisalimiana na Mhe Tundu Lissu baada ya kufungua kikao

 Rais Kikwete, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika picha ya kumbukumbu na wenyeviti wa vyama vya siasa baada ya ufunguzi wa kikao hicho

 Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mhe Freeman Mbowe kwa hotuba nzuri

 Picha ya pamoja na viongozi wa vyama vya siasa

 Picha ya pamoja na makatibu wakuu wa vyama vya siasa
 Picha ya pamoja na wajumbe wa kikao
 Picha ya pamoja na viongozi wa dini na wa vyama vya siasa pamoja na wageni waalikwa

 Rais Kikwete akiongea na Mhe James Mapalala
 Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila

 Mhe William Lukuvi akisalimiana na Mhe Wilbroad Slaa
 Rais Kikwete, Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Francis Mutungi Mhe Peter Mziray na Mhe Freeman Mbowe wakitoka nje ya ukumbi
 Rais Kikwete akiongea na viongozi baada ya kufungua kikao hicho

Rais Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa Mhe Peter Mziray na viongozi wengine.