Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji na siasa.
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es Salaam. |