[video] Asasi za kiraia kuushtaki mchakato wa Bunge la Katiba mahakamani?

Asasi za kiraia zinazofuatilia na kuangalia mwenendo wa utendaji kazi wa Bunge maalumu la Katiba linaloendelea mjini Dodoma zimetishia kuusimamisha mchakato huo mahakamani ama kwa kuushtaki kwa wananchi kutokana na kitendo cha uongozi wa bunge kuimarisha ulinzi kwa kiasi kikubwa jambo ambalo linawatishia wabunge na wananchi kuwa huru kufuatilia na kutoa maoni yao kuhusu namna ambavyo mchakato huo unaendelea.

Video ya taarifa ya ITV inaeleza zaidi...