[video] Bunge la Katiba: Mjumbe, @MariaSTsehai katika @MakutanoShow aongelea suala la posho
Video iliyopachikwa hapo chini ni ya Mjumbe wa Bunge la katiba, Maria Sarungi-Tsehai akiongea kuhusu posho zilizozua gumzo katika Bunge la Katiba linaloendelea hivi sasa mjini Dodoma.