Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Taasisi ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo ya MOI, Dk Othman Wanin Kiloloma, akizungumza na wafanyakazi wa taasisi hiyo jijini Dar es Salaam, Julai 24, 2014 mara baada ya kuteuliwa mwishoni mwa wiki.(picha: KHAMISI MUSSA/ www.ujijirahaa.blogspot.com) |