Futari Ikulu ya Rais Kikwete kwa viongozi wa dini ya Kiislam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu katika futari aliyowaandalia kulu jijini Dar es Salaam jioni ya Julai 16, 2014. (picha: Ikulu)


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru  viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu  kwa kuhudhuria katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwashukuru viongozi kwa kuhudhuria 

Sehemu ya waliohudhuria katika  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Sehemu ya waliohudhuria 

 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la Shukurani baada ya  futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
 Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la shukurani baada ya futari

Kadhi Mkuu wa Tanzania Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaaza sauti) akiongoza dua katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es salaam jioni ya Julai 16, 2014
Kadhi Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abdullah Yusuf bin Ali bin Yusuf ash-Shirazi Mnyasi (mwenye kipaza sauti) akiongoza dua.