Hatimaye "Mwenge wa Uhuru" wakabidhiwa Zanzibar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Said Meck Sadiki akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Abdallah Mwinyi Khamis, makabidhiano hayo yamefanyika Uwanja wa Ndege Mkongwe, Kiembesamaki, leo.Vijana wa Chipkizi wakiimba wimbo ya Mwenge.
Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Bi. Getrudi Mpaka akitoa salam za Mkoa huo kabla ya kuukabidhi Mwenge wa Uhuru Mkoa wa Mjini Magharibi leo Julai 30.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Ikulu na Utawala Bora Dkt. Mwinyihaji Makame akishika mwenge wa Uhuru ulipowasili Zanzibar.

Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Hamza Ibrahim kutoka Mjini Magharibi na maaskari wakiukimbiza Mwenge.

(picha zote: Makame Mshenga - Maelezo Zanzibar).