Waumini wa kiislamu wakipata iftar iliyoandaliwa na wakaazi wa jumba nambari 8 ngazi ya nne Michenzani Zanzibar |
Maalim Abuu, sheikh Ali wakipata futari ya pamoja Siku ya Ijumaa Julai 25, 2014 |
Ndugu jamaa na marafiki wakipata iftar ya pamoja iliyoandaliwa na Jumuiya ya waIslam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar
Matunda ya shokishoki yaliowekwa kwaajili ya kushushi futari ya mwenzi 27 Jumuiya ya waIslam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar
Chichili wa Mwembetanga (wakwanza kulia) akishushia na chai ya moto ilioandaliwa na Jumuiya ya Waislam waJumba namba 8 ngazi ya nne, maarufu kma ngazi ya (Warusi) Michenzani Zanzibar