Mafuta ya chakula 'enzi zetu' - Supa-Ghee, Kimbo... Published on Monday, July 21, 2014 Kama unakumbuka miaka ile ya kwenda dukani na shilingi 12 unarudi na mafuta, samli au jibini na sukari 'robo kipimo', ah, basi wewe na mimi tuna yetu ya kusimulia. Viwanda vyetu, malighafi yetu, mali yetu, fahari yetu! Iliyobaki tusimuliane tu historia...