Mary anaomba kura yako kwenye shindano la "Nani Mkali Clouds Tv"

Habari Marafiki, Wapenzi na Mashabiki,
Nimeingizwa kwenye mashindano ya nani mkali Clouds Tv ni mwanamke pekee kwenye kinyang’anyiro kumtafuta Mwanamuziki bora wa bendi wa mwaka.

Tafadhali sana nahitaji sana kura zenu ili niweze kushinda.

Kupiga kura tuma sms andika MKALI 1 kisha tum kwenda 15678 hapo utakua umenisapoti sana mtu wangu wanguvu, love you all.

Mary Lucos wa Skylight Band.